Habari za Punde

Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.

Kijana Hamad Juma wa kwanza kulia kutoka baraza la Vijana Shehia ya Mvumoni Furaha Wilaya ya Chake Chake, akiwa na wenzake wakiwashikilia ngombe waliokabidhiwa na shirika la DIRECT AID wenyethamani ya shilingi laki tatu (300,000/=) kwa lengo la kuwasaidia vijana hao kuondokana na umaskini.
Afisa Mipango Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Omar Juma Ali akimkabidhi ng'ombe mmoja wa Vijana kutoka Baraza la Vijana Shehia ya Mvumoni Wilaya ya Chake Chake, waliotolwa na Shirika la DIRECT AID wenye thamani ya shilingi laki tatu (300,000/=)kwa lengo la kuwasaidia vijana hao kuondokana na umaskini.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.