Habari za Punde

Timu ya Gormahia ya Kenya Yatetea Ubingwa Wao wa Kombe la Michuano ya SportPesa Kwa Kuifunga Timu ya Simba Bao 2-0 Katika Mchezo wa Fainali Uliofanyika Uwanja w Nakuru leo.

Mabingwa wa Kombe la Sport Pesa Mwaka 2018 Timu Gor Mahia wakishangilia ubingwa wao baada ya kushinda mchezo wao wa Fainali na Timu ya Simba ya Tanzania Mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Nakuru Nchini Kenya.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.