Habari za Punde

Utafiti wa Kiolojia Katika Viwanja Vya Ngombe Kongwe Zanzibar Kutafiti Mabaki ya Vitu Vya Zamani Katika Eneo Hilo.

Watafiti kutoka Nchini Uingereza wakiongozwa na Profesa Mark Horton wakifanya utafiti kuchunguza mabaki ya vitu vya historia katika eneo la viwanja vya Ngombe Kongwe Zanzibar. Kama wanavyoonekana wakiwa katika zoezi hilo la utafiti huo wa kitaalamu.  
Watafiti hao wa Kiolojia wakichimba katika eneo hilo kutafuta mabaki ya vitu vya zamani kwa ajili ya historia ya Zanzibar wakati wa karne zilizopita kutoka kwa watawala mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.