Habari za Punde

KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA NDG. JOHN S. SHILATU


Tokeo la picha la john shilatu
Ilikuwa dakika, saa, siku, mwezi na sasa ni miaka 5 tangu Rafiki yetu, Baba Yetu na Babu Yetu Ndugu JOHN S. SHILATU ututoke ghafla mnamo Julai 23, 2013.

Unakumbukwa na Mkeo, wanao, wajukuu, ndugu, jamaa, marafiki zako na ukoo wa Shilatu na Makere ambao kamwe hawatakaa wausahau ucheshi, upendo, na huruma zako kwa kila mtu.
Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akupumzishe mahali pema peponi.JINA LA BWANA LIHIMIDIWE! AMEN!!

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.