Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. AliMohamed Shein, Azindua Programu ya Pamoja na Zanzibar Kuwajengea Uwezo Wanawake na Vijana Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa UN Tanzania Mr. Alvaro Rodriguez , baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kuhudhuria Uzinguzi wa Programu ya Pamoja na Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kaimu Wazri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Salama Aboud Talib, baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kuhudhuria Uzinguzi wa Programu ya Pamoja na Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Kaimu Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Salama About Talib, wakielekea ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Programu ya Pamoja ya Zanzibar na UN.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwaikil Kikwajuni Zanzibar


MWAKILISHI Mkaazi wa UN Tanzania Mr. Alvaro Rodriguez akitoa salamu za UN wakati wa hafla ya uzinduzi wa Programu ya Pamoja Zanzibar na UN kuwawezesha Wajasiriamali na Vijana katika maendeleo, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil kikwajuni ZanzibarRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi  wa Programu ya Pamoja Zanzibar na UN kuwawezesha Wajasiriamali na Wakulima wa Mwani Zanzibar na Vijana, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Wawakilishi wa Mashirika ya UN na Viongozi wa Serikali na Wawanchi wakifuatilia hutuba ya Uzinduzi wa Programu ya Pamoja Zanzibar na UN iliozinduliwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Wawakilishi wa Mashirika ya UN na Viongozi wa Serikali na Wawanchi wakifuatilia hutuba ya Uzinduzi wa Programu ya Pamoja Zanzibar na UN iliozinduliwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Wananchi na Viongozi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi huo wa Mpango wa Programu ya Pamoja UN na Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Bunner ya Programu ya Pamoja Zanzibar na UN , akiwa na Mwakilishi Mkaazi wa UN Tanzania Mr. Alvaro Rodriguez, wakiondosha kipazia kuashiria uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Bunner ya Programu ya Pamoja Zanzibar na UN , akiwa na Mwakilishi Mkaazi wa UN Tanzania Mr. Alvaro Rodriguez, wakiondosha kipazia kuashiria uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi  Mwakilishi wa Kikundi cha Furahia Wanawake cha Paje Bi. Mwanaisha Makame Salum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkapidhi Programu ya Pamoja Zanzibar na UN Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico  wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.