Habari za Punde

Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Chumbuni waungana na watoto mayatima katika chakula cha mchana

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation akiwa pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akishiriki pamoja na Wananchi wa Jimbo hilo kusoma  dua ya kuwaombea wazee waliotangulia mbele ya haki katika Chakula cha mchana kilichotayarishwa na Taasisi hiyo kwa Watoto yatima na wenyemazingira magumu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villa Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation akiwa pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akijumuika na Watoto Mayatima na wenye mazingira magumu  katika Chakula cha mchana kilichotayarishwa na Taasisi hiyo kwa Watoto yatima na wenyemazingira magumu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villa Zanzibar.
Muakulishi wa Jimbo la Chumbuni Miraji Khamis Mussa akijumuika na Watoto Mayatima na wenye mazingira magumu  katika Chakula cha mchana kilichotayarishwa na Taasisi Pondeza Foundeshen katika  Hoteli ya Maruhubi Beach Villa Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.