Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aendelea na Ziara Yake Nchini Indonesia Atembelea Hospitali ya Moyo ya Harapan Kita

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Dr.Mohamad Subuh MPPM Mshauri wa Waziri wa Afya mara baada ya mapokezi alitembelea Hospitali ya Ugonjwa wa Moyo iitwayo Harapan Kita katika Mjini Jakarta Nchi Indonesia jana akiwa katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi na madaktari Bingwa katika Hospitali ya Moyo ya Harapan Kita jana katika Mji wa Jakarta Nchi Indonesia akiwa katika ziara ya kikazi na Ujumbe wake kwa mualiko  wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka kwa Mshauri wa Waziri wa Afya  katika  Hospitali ya Moyo ya Harapan Kita jana katika Mji wa Jakarta Nchi Indonesia Dr.Mohamad Subuh MPPM (kushoto)  baada ya Mazungumzo na Uongozi wa Hospitali hiyo jana yalyofanyika katika ukumbi maalum katika ziara  ya kikazi na Ujumbe wake kwa mualiko  wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Dr.Dicky A.Hanafy,SpJP(K) (wa pili kushoto) wakati alipotembelea vitengo mbali mbali katika  Hospitali ya Moyo ya Harapan Kita jana katika Mji wa Jakarta Nchi Indonesia  katika ziara  ya kikazi na Ujumbe wake kwa mualiko  wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,(katikati)  Mshauri wa Waziri wa Afya Dr.Mohamad Subuh MPPM (wa pili kulia)  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania nchini Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau,(kushoto) Dr.Doni Firman,SpJP(K) FIHA. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na  Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kulia) pamoja Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Dr.Priete Adriane Sp,An (katikati) wakati alipotembelea  vitengo mbali mbali  katika  Hospitali ya Moyo ya Harapan Kita jana katika Mji wa Jakarta Nchi Indonesia  katika ziara  ya kikazi na Ujumbe wake kwa mualiko  wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na  Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi rasilimali watu Basuni Radi,M.D.PHD (kulia) alipotembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Moyo ya Harapan Kita jana katika Mji wa Jakarta Nchi Indonesia akiwa katika ziara ya kikazi na Ujumbe wake kwa mualiko  wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohamed Jusuf Kalla, (wa pili kulia) Mshauri wa Waziri wa Afya  Dr.Mohamad Subuh MPP
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kudhoto) alipokuwa akiagana na Mshauri wa Waziri wa Afya  Dr.Mohamad Subuh MPPM pamoja na Viongozi wengine  baada ya kutembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Moyo ya Harapan Kita jana katika Mji wa Jakarta Nchi Indonesia akiwa katika ziara ya kikazi na Ujumbe wake kwa mualiko  wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohamed Jusuf Kalla

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.