Habari za Punde

Maonesho ya Wajasiriamali Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Katika Viwanja Vya Dunga.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati,Diwani wa wadi ya Bungi , ambae pia ni mgeni rasmin katika maonesho ya Soko la wazi la Wajasiri amali wa Wilaya ya Kati ndugu Said Mtaji Askari akiangalia bidhaa mbali mbali kwa wajasiri amali hao; pichani akiwa amevalia suti nyeusi na shati la manjano  huko katika  kiwanja cha Wilayani Dunga Mkoa wa Kusini Unguja,September 1;2018.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.