Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-3 Alex Kitenge Apiga Hatriki ya Kwanza Katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ukiendelea katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam jioni hii wakati Timu ya Yanga ikiwa mbele kwa mabao 4-2 Mchezo ukiendelea kipindi cha pili cha mchezo huo.
Timu ya Yanga imeandika bao lake la kwanza katika kipindi cha kwanza dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia mchezaji wake Mrisho Ngasa, nao Timu ya Stand United waliongeza kasi na katika mchezo huo na katika dakika ya 15 ya mchezo huo kipindi cha kwanza mshambuliaji wake, Alex Kitenge ameipatia bao timu yake. 
 Nao Vijana wa yanga wakaandika bap la pili kupitia mshambuliaji wa Ajibu katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo kuunganisha krosi safi kupitia kwa mshambuliaji shishimbi na Yanga wakapiga bao la Nne katika kipindi cha Pili cha mchezo huo kupitia mshambuliaji wake Gaseke. 
 Mshambuliaji wa Stand United Alex Kitenge aiandikia bao la 3 Timu yake katika dakika ya 90 za nyongeza 
Mpira umemalizika kwa yanga kuondoka kwa ushinda wa mabao 4-3 dhidi ya Timu ya Stand United mchezo uliofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.