Habari za Punde

Wanafunzi Wafauli wa Kidatu cha Sita Zanzibar Wakionesha Igizo Wakati wa Hafla ya Kukabidhiwa Laptop Viwanja vya Mapinduzi Square Michezani.Wanafunzi Wahitimu wa Kidatu cha Sita Skuli za Sekondari Hamamni na ya Faraja wakiwa katika jukwaa wakitowa tamthilia ya Ngonjera ya kutoa mafunzo na Elimu kwa Wanafunzi dhidi ya Wazee kuwaelimisha Watoto wao juu ya kupata elimu.
Jumla ya Wanafunzi wa Kidatu cha Sita 96 wa Skuli 17 za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wamekabidhiwa Laptop na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ikiwa ahadi yake kwa Wanafunzi wa Mkoa wake watakaofanya vizuri na kupata Division One atawakabidhi Laptop. na kutimiza ahadi yake hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.