Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mitaro ya Maji Machafu ukiendelea na Ujenzi huo katika Mitaa ya Makadara na lumumba, kama inavyoonekana picha mmoja wa mtaro huo ukiendelea na ujenzi wake katika mtaa wa lumumba ukielekea pwani ya kinazini kuunganishwa ili kumwaga maji hayo kutoka katika maeneo ya Sebleni na Nyerere.
Ujenzi ukiendelea katika mtaa wa makadara mafundi wakienelea na zoezi hilo la ujenzi wa Mtaro huo.
Mtaro wa zamani katika eneo la kwa AbassHussein. Nao huu ummo katika kujengwa upya ili kuondoa Tatizo la kutuwama kwa maji wakati wa mvua za masika.
No comments:
Post a Comment