Habari za Punde

Washiriki wa Bonaza la Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Wakizawadiwa Zawadi Kwa Washindi wa Michezo Mbalimbali Iliofanyika Katika Viwanja Vya Ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ) Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi Kombe la Ushindi wa Mchezo wa Mpira wa Ufukweni Nahodha wa Timu ya PBZ Kikosi cha Yellow baada ya kuifunga Timu ya Red, kwa mikwaju ya Penenti 4-2. Wakati wa Michezo ya Bonaza la Pili la PBZ 2018 lililofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Bonaza hilo lililowashirikisha Wafanyakazi wa PBZ kwa michezo mbalimbali ya kufuta kamba, kufukusa Kuku Mpira wa Ufukweni na Kujibu Maswali ya Papo kwa Papo. 
Wafanyakazui wa Moja ya Timu za PBZ ilioibuka mshindi wa Bonaza la Wafanyakazi wa PBZ katika viwanja vya Ufukwe wa Pwani ya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Timu ya PBZ Yellow ilioshinda Timu ya PBZ Red wakishangilia ushindi wao baada ya kukabidhiwa Kombe lao na Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir Hafidh, wakati wa michezo ya Bonaza katika viwanja vya Ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Zanzibar. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ) Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya Kombe la Mshindi wa Kwanza kufuta Kamba Wanaume  Eng. Mohammed, wakati wa Michezo ya Bonaza la PBZ 2018. katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ) Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya Kombe la Mshindi wa Kwanza Kufuta Kamba Wanawake   Eng. Mohammed, wakati wa Michezo ya Bonaza la PBZ 2018. katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya fedha taslim mshindi wa kwanza wa resi za magunia Ndg. Thabit Mohammed, wakati wa michezo ya Bonaza la PBZ la Pili mwaka 2018 lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya fedha taslim mshindi wa Pili resi za magunia Ndg.Yussuf Charles wakati wa michezo ya Bonaza la PBZ la Pili mwaka 2018 lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya fedha taslim mshindi wa Tatu wa resi za magunia Ndg. Haji Kisaka,wakati wa michezo ya Bonaza la PBZ la Pili mwaka 2018 lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya fedha taslim mshindi wa kwanza wa resi za magunia Bi. Salma Hassan wakati wa michezo ya Bonaza la PBZ la Pili mwaka 2018 lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya fedha taslim mshindi wa Pili wa resi za magunia Bi. Mkasi Khamis, wakati wa michezo ya Bonaza la PBZ la Pili mwaka 2018 lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Juma Ameir Hafidh akimkabidhi zawadi ya fedha taslim mshindi wa Tatu wa resi za magunia Bi. Sabra Omar,wakati wa michezo ya Bonaza la PBZ la Pili mwaka 2018 lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Mratibu wa Bonaza la PBZ 2018 Hassan Maulid akitowa maelezo kwa Washiriki wa mchezo wa kujibu maswali baada ya kuchagua vikaratasi vilikuwa na maswali hayo.
Washiriki wa mchezo huo wa kuokota vikaratasi vikiwa na mswali ya kujibu kutegemea na namba uliopata, iliowashirikisha Wafanyakazi wa PBZ wakati wa Bonaza la Pili 2018 lililofanyika katika viwanja vya Ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Zanzibar.
Washiriki wa mchezo huo wa kuokota vikaratasi vikiwa na mswali ya kujibu kutegemea na namba uliopata, iliowashirikisha Wafanyakazi wa PBZ wakati wa Bonaza la Pili 2018 lililofanyika katika viwanja vya Ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.