Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni, akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali
za Mitaa na Idara Maalumu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Radhiya Rashid
Haroub (kushoto), wakati wa Kikao cha kubadilishana uzoefu juu ya suala la ufungaji
wa kamera maalumu za kuzuia na kudhibiti uhalifu ambazo tayari zimeshafungwa Visiwani
Zanzibar. Wengine ni ujumbe kutoka Jeshi la Polisi ulioongozana na Naibu
Waziri, ukiongozwa na Kaimu Kamishna wa Jeshi la Polisi, SACP Saleh Mohamed
Saleh (watatu kushoto)
Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, Radhiya Rashid Haroub
akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, wakati wa Kikao cha
kubadilishana uzoefu juu ya suala la ufungaji wa kamera maalumu za kuzuia na
kudhibiti uhalifu ambazo tayari zimeshafungwa Visiwani Zanzibar. Wengine ni
ujumbe kutoka Jeshi la Polisi ulioongozana na Naibu Waziri, ukiongozwa na Kaimu
Kamishna wa Jeshi la Polisi, SACP Saleh Mohamed Saleh (watatu kushoto).Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment