Habari za Punde

Matukio Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Papo.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma
 Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akifurahia jambo na Mbunge wa Mlalo Lushoto Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Bunda Boniphace Mwita, Bungeni jijini Dodoma. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Azza Hilal, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu K assim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Vunjo James Mbatia, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Vunjo James Mbatia, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Buyungu Christopher Chizza, kwenye jengo la utawala Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.