Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Azungumza na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China, akitambulishwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Mr, Cai Defeng, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.18/11/2018.Ikulu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Mr. Cai Defeng alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzi wakati wa ziara yake Nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Mr.Cai Defeng alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar, akiwa katika ziara yake Nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Mr.Cai Defeng, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo, akiwa katika ziara yake Nchini Tanzania.  
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia mazungumzo hayo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China.Mr.Cai Defeng, alipofika Ikulu Zanzibar leo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Mr. Cai Defeng, kushoto Ujumbe wa Wabunge wa China na kulia Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Mr. Cai Defeng, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa maelezo kwa mgeni wake kumuonesha eneo la mandhari ya visiwa vya Zanzibar, wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yake na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China Mr.Cai Defeng,  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China, Mr. Cai Defeng, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.