Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Hamdi Abuali, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Hamdi Abuali, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment