Habari za Punde

Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Umoja wa Mataifa Unaoshughulikia Maendele ya Watoto (UNICEF) Nchini Zanzibar, Bi.Maha Damaj.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu Mpya wa UNICEF,Ofisi ya Zanzibar Bi. Maha Damaj, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo, akiwa na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman. mwenye gauni la kijani katikati, akimtambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi.Maniza Zaman, alipofika Ikulu kumtambulisha Mkuu Mpya wa UNICEF Nchini Zanzibar Maha Damaj, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Jarida la UNICEF na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzinai Bi. Maniza Zaman, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kumtambulisha Mkuu wa UNICEF Nchini Zanzibar Bi.Maha Damaj.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagalia Gazeti la UNICEF baada ya kukabidhiwa na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo na kumtambulisha Mkuu Mpya wa UNICEF Nchini Zanzibar Bi.Maha Damaj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Mkuu Mpya wa UNICEF atakayefanyia kazi zake Zanzibar baada ya kutambulishwa na Mwakilishi wa UNICEF Bi.Maniza Zaman, katikati, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo. na kumtambulisha kwa Rais wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman, kushoto na kulia Mkuu Mpya wa UNICEF Nchini Zanzibar Bi. Maha Damaj. baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi.Maniza Zaman, baada ya mazungumzo yao na kumtambulisha Mkuu Mpya wa UNICEF Nchini Zanzibar.Bi.Maha Damaj. mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar. leo 4/12/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.