Habari za Punde

Serikali Kuimarisha Uhusiano na Nchi ya Falme za Kiarabu.

Naibu  Waziri  wa  Mambo ya  Ndani  ya  Nchi, Mhandisi  Hamad  Masauni, akizungumza  wakati  wa Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam. Ambapo aliahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Nchi ya Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mohamed Ghalib Bilal akichagua  tiketi ya mchezo wa bahati nasibu,iliyoendeshwa  wakati  wa  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam.
Naibu  Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi  Hamad Masauni(wapili kulia) na Viongozi wengine wa Ubalozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu wakimkabidhi  Ali Suleiman Ali ,zawadi ya tiketi ya ndege  kwenda nchini Dubai na kurudi baada ya kuibuka mshindi katika bahati nasibu iliyochezeshwawakati  wa  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu, lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam
Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt. Mohamed Ghalib Bilal (wapili kushoto), akiongozana  na  Balozi  wa  Nchi  ya  Falme za  Kiarabu hapa  nchini, Khalifa  Abdulrahman  Mohamed Al- Marzooqi (watatu kushoto), Naibu  Waziri  wa  Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi, Mhandisi  Hamad Masauni (wanne  kushoto)  na  wageni  waalikwa   wakitoka  nje  ya  ukumbi  baada  ya kumalizika Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu ,Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi (kulia), baada ya kumalizika kwa Hafla ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa  la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam.
 Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.