Mshambuliaji wa Timu ya Simba akijaribu kuwapita mabeki wa Timu ya KMKM katika mchezo wa Kuwania Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar,jana usiku Timu ya Simba imeshinda mchezo huo.
Meya ‘Shetta’ kuja na goli la Meya
-
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal ‘Shetta’, amesema milango ya
ofisi yake iko wazi kwa wasanii na wanamichezo kwa jambo lolote
linaliweza ku...
1 hour ago
0 Comments