Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha
Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo
tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Angela Kairuki kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika
leo tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akizungumza na wanahabari mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la
Mawaziri kilichofanyika leo tarehe
21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri
kilichofanyika leo tarehe 21/01/2019 Ikulu
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada
ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment