Habari za Punde

Uzinduzi wa Uwanja Mpya wa Mao Zedong's Zanzibar Leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Uwanja wa Mao Zedong's wakati wa ufunduzi wa Uwanja huo uliofanyika leo. akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Ndg. Omar Hassan King kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Ndg Omar Hassan King kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Balozi Mdogo wa China Zanzibar.Balozi  Xie. wakiwa katika hafla hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Uwanja wa Mao Zedong's baada ya kuufungua rasmin baada ya ujenzi wake mkubwa kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na kulia kwa Rais Waziri wa Vijana Michezi Utamaduni na Sanaa Zanzibar Mhe. Balozi Ali Abeid Karume  na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie, wakitembelea Uwanja huo Mpya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.