Habari za Punde

Mkutano wa Kamati ya Maendeleo Mkoa wa Kusini Pemba.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kusini Pemba,Mkuu wa Mkoa wa Kusini Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, akifungua Mkutano wa Wajumbe wa Kamati hiyo,uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake Pemba.kilichowashirikisha Wabunge, Wawakilishi, Wakurugenzi wa Mabaraza ya Mji na Maofisa Wadhamini na Watendaji mbalimbali wa SMZ Kisiwani Pemba.
WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo Mkoa wa Kusini Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano huo, huko katika ukumbi wa baraza la mji Chake Chake
WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo Mkoa wa Kusini Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano huo, huko katika ukumbi wa baraza la mji Chake Chake
MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake Salam Abuu Hamad, akiwasilisha makadiro ya bajeti ya baraza lake kwa mwaka 2019/2020 kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kusini Pemba, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa baraza hilo, chini ya mwenyekiti wake Mkuu wa Mkoa Huo
MKURUGENZI wa Baraza la Mji Mkoani Rashid Abdalla Rashid, akiwasilisha taarifa ya makadirio ya mapato ya baraza lake kwa mwaka 2019/2020 kwa wajumbe wakamati ya amaendeleo ya Mkoa wa kusini Pemba, chini ya mwenyekiti wake mkuu wa mkoa huo, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza la Mji Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.