Habari za Punde

Kukamilika Kwa Jengo la Kisasa la Ofisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Taasisi Nne Lakamilika Ujenzi Wake na Kukabidhiwa leo Kisiwani Pemba.


NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Iddi Haji Makame kulia akipokea funguo za majengo pacha ya ofisi nne za Serikali Kisiwani yaliyopo katika eneo la Gombani Kisiwani Pemba, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya QBC Khamis Said Ali, baada ya kampuni hiyo kumaliza ujenzi wake, hafla ya makabidhiano ya majengo hayo yalihudhuriwa na Viongozi mbali mbali kutoka katika wizara nne
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Iddi Haji Makame kulia akipokea funguo za majengo pacha ya ofisi nne za Serikali Kisiwani yaliyopo katika eneo la Gombani Kisiwani Pemba, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya QBC Khamis Said Ali, baada ya kampuni hiyo kumaliza ujenzi wake, hafla ya makabidhiano ya majengo hayo yalihudhuriwa na Viongozi mbali mbali kutoka katika wizara nne
 MKURUGENZI Mtendaji wa kamapuni ya QBC ya Zanzibar Khamis Said Ali, akitaja majina ya vifaa na vitu ambavyo vimo ndaji ya jengo la ofisi nne za Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango, Wizara ya Katiba na Sheria, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee wanawake na Watoto,  hafla ya makabidhiano ya majengo hayo yalihudhuriwa na Viongozi mbali mbali kutoka katika wizara nne
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar  Iddi Haji Makame, akibadilishana baadhi ya Dokment kwa jili ya kusai na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya QBC Khamis Said Ali,  hafla ya makabidhiano ya majengo hayo yalihudhuriwa na Viongozi mbali mbali kutoka katika wizara nne
AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ibrahim Saleh Juma, akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la taasisi nne za Serikali Kisiwnai Pemba huko katika eneo la Gombani, baada ya kumalizika kwa ujenzi wake na kukabidhiwa serikali rasmi
 NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mauwa Makame Rajab, akizungumza mara baada ya kukabidhiwa kwa jengo la Wizara nne kutoka kwa kampuni ya QBC iliyokuw aikilijenga na sasa kukamilika,  hafla ya makabidhiano ya majengo hayo yalihudhuriwa na Viongozi mbali mbali kutoka katika wizara nne
 AFISA Mdhamini wa Wizara ya Katiba na Sheria na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Massoud Ali Mohamed, akizungumza kwa niaba ya manaibu katibu wakuu wa Wizara hizo, wakati wa  hafla ya makabidhiano ya jengo la wizara nne huko Gombani,  ilihudhuriwa na Viongozi mbali mbali kutoka katika wizara nne.
NAIBU katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Iddi Haji Makame, akizungumza mara baada ya kukabidhiwa jengo la ofisi nne za Serikali Kisiwnai Pemba huko katika maeneo ya Gombani Chake Chake, baada ya kumalizika kwa ujenzi wake hafla iliyofanyika katika  katika jengo hilo na kuhudhuriwa na  Viongozi mbali mbali kutoka katika wizara nne.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.