Habari za Punde

Viongozi Mbalimbali wa Serikali na Wananchi Kisiwani Pemba Wakishiriki Katika Kumsomea Hitma Maalum Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Wawi Pemba

Waziri wa Nchi OIfisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, akiongoza Wananchi na Wanafamilia wa Marehemu Dkt. Omar Ali Juma, katika kumuombea Dua wakiwa katika eneo la kaburi hilo kijijini kwao Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.  
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Haji Omar Kheir, wakati wa hitma maalumu ya Marehemu Dk Omar Ali Juma, hitma hiyo iliyofanyika katika kaburi lake huko Wawi chake Chake Pemba
BAADHI ya Viongozi wa Serikali, Cham Cha Mapidnuzi na Wananchi wa Wilaya ya Chake Chake, wakisoma hitma katika kaburi la marehemu Dk Omar Ali Juma, hitma hiyo iliyofanyika katika kaburi lake Wawi Chake Chake Pemba
SHEIKH Mahmoud Mussa akisoma dua maalumu ya kumuombea Marehemu Dk Omar Ali Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika kaburi lake huko Wawi Chake Chake Pemba
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapidnuzi ya Zanzibar, wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ, Haji Omar Kheir, wakimuombea dua marahemu Dk Omar Ali Juma  hafla iliyofanyika ndani ya kaburi lake huko Wawi Chake Chake Pemba.

(Picha na Abdi Suleiman  - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.