Habari za Punde

Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Wajumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Katika Futari Viwanja Vya Ikulu Ndogo Micheweni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mifti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na kulia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman wakijumuina na Waumini wa Dini ya Kiislama katika Sala ya Magharibi katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba,wakati wa hafla ya Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mifti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na kulia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman wakijitikia dua baada ya kumaliza Sala ya Magharibi katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba,wakati wa hafla ya Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika hafla ya futari aliowaandalia katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba,kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na kulia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman, wakishiriki katika futari hiyo. 
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakishiriki katika futari maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba.
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakishiriki katika futari maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba.
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisoma na Sheikh Omar Hamad, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioyanyika Ikulu Ndogo Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa kwa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katrika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba na kushoto Mshauri wa Rais Afisi ya Rais Pemba Dkt. Maus Abeid Daftari na kulia Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba Bi. Salama Mbarouk  Khatib.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Kisiwani Pemba
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Kisiwani Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.