Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma..

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma 
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe, Bungeni jijini Dodoma 
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 6.2019. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Mbunge wa Sumve Richard Ndasa, Mbunge wa Sengerema William Ngeleja
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara (DCB), Godrey Ndalahwa ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Mei 6.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.