Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika Katika Futari Maalum Aliyowaandaliwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar kushoto Sheikh Saleh Omar Kabi na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake  Rashid Hadid Rashid  katika Futari Maalum iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Kisiwani Pemba, kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba jana 16-5-2019, kulia Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika katika Futari Maalum aliyowaandaliwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba jana 16-5-2019, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na kulia Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi, wakijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari hiyo.
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba. 
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba kulia Mshauri wa Rais wa Afisi ya Rais Pemba Mhe. Maua Abeid Daftari na kushoto Mshauri wa Rais Masuala ya Kijamii Mhe Zainab Omar. 
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman akitowa neno la shukrani kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba kwa kuitikia wito katika hafla ya fitari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
Sheikh Mohammed Suleiman akitowa nasaha za mawaidha wakati wa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Kisiwani Pemba. 
Sheikh Mohammed Suleiman akisoma dua baada ya kumaliza kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Kisiwani Pemba. 
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Kisiwani Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.