Habari za Punde

Wafanyakazi wa Zantel washiriki futari na Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu ,Pemba na Tanga

Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa, akiongea wakati wa futari iliyoandaliwa na kampuni kwa ajili ya watoto waishio kwenye mazingira magumu wanaolelewa katika kituo cha Muzdalifa, mkoani Pemba.
Wafanyakazi wa kampuni wa Zantel wakishiriki kupata futari na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wanaolelewa katika kituo vya Istqaama na Goodwill and Humanity Foundation, vilivyopo mjini Tanga, mwishoni mwa wiki. Futari hiyo imeandaliwa na uongozi na Wafanyakazi wa Kampuni ya Zantel ili kuwaweka karibu watoto katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu. 
Wafanyakazi wa kampuni wa Zantel wakishiriki kupata futari na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wanaolelewa katika kituo cha Muzdalifa kilichopo Wete Pemba, mwishoni mwa wiki. Futari hiyo imeandaliwa na uongozi na Wafanyakazi wa Kampuni ya Zantel ili kuwaweka karibu watoto katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu.
Wafanyakazi wa kampuni wa Zantel wakishiriki kupata futari na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wanaolelewa katika kituo vya Istqaama na Goodwill and Humanity Foundation, vilivyopo mjini Tanga, mwishoni mwa wiki. Futari hiyo imeandaliwa na uongozi na Wafanyakazi wa Kampuni ya Zantel ili kuwaweka karibu watoto katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.