Habari za Punde

DPP AKABIDHI MADINI, VITO NA FEDHA BENKI KUU (BOT) ZILIZOTOKANA NA KESI ZA UHUJUMU UCHUMI. JUNI 29,2019

Masanduku yaliyoifadhiwa Madini, Vito pamoja na fedha za Mataifa mbalimbali zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi zikiingizwa katika Ukumbini tayari kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga kukabidhi kwa Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BOT). 
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali sehemu ya vipande vya Madini ya Dhahabu ambayo ilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam. 
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali sehemu ya vipande vya Madini ya Dhahabu ambayo ilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam 
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi.Dkt.Agustine Mahiga, Waziri wa Madini Dotto Biteko pamoja na Kamishina wa Madini Profesa.Abdukalim Mruma wakiwa wamishika vipande vya madini ya dhahabu ambayo Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amezikabidhi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali Madini, vito na Fedha za mataifa mbali mbali zilizokamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam. 
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi.Dkt.Agustine Mahiga, Waziri wa Madini Dotto Biteko pamoja na Kamishina wa Madini Profesa.Abdukalim Mruma wakiwa wamishika vipande vya madini ya dhahabu ambayo Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amezikabidhi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali Madini, vito na Fedha za mataifa mbali mbali zilizokamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam.  
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga akionyesha juu kwa Mawaziri na Wanahabari Fedha za Kimarekani (Dollar) kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali Fedha hizo pamoja na Madini na Vito ambavyo vilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali sehemu ya Fedha za Mataifa mbali mbali pamoja na Madini na Vito ambavyo vilikamatwa na kutaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam 
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga akionyesha juu kwa Mawaziri na Wanahabari moja kipande cha madini ya Pie light kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali Madini, Vito na Fedha za mataifa mbali mbali ambavyo vilikamatwa na kutaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam

KatibuMkuuwaWizarayaFedhanaMipangoDotto James akizungumzanawanahabarimarabaadayakukabidhiwakwaniabayaSerikaliMadini, vitombalimbalinaFedhakutokakwaMkurugenziwaMashtakanchini (DPP) BiswaloMgangaambazozilikamatwanakuitaifishwakwamujibuwaSheriazilizotokananaKesimbalimbalizaUhujumuUchuminchini, katikaukumbiwa BOT jijini Dar es salaam
Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt.Agustine Mahiga akizungumza na wanahabari katika hafla ya kukabidhi Madini, vito mbali mbali na Fedha kwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga ambazo zilikamatwa na kutaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbali mbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.