Habari za Punde

Kampuni ya kimataifa ya TouchRoad kutoka China kuongeza idadi ya watalii

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Bi. Khadija Bakari na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad ya Jimbo la Zhejiang nchini China wakitia saini makubaliano ya kuongeza idadi ya watalii kutoka China kuja Zanzibar katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Park Hyatt Shangani.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Mambo ya Kale Bi. Khadija Bakari Juma akibadilishana hati na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad ya Jimbo la Zhejiang baada ya kutiliana saina makubaliano ya kuongeza idadi ya watalii Zanzibar
 Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Wafanyabiashara kutoka Jimbo la Zhejiang na Zanzibar walioshiriki Jukwaa la Wafanyabiashara wa nchi hizo mbili wakifuatilia ufunguzi katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani.
Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Hassan Khamis Hafidh akifunga jukwaa la Wafanyabiashara wa Kampuni ya Touchroad ya China na wenzao wa Zanzibar katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani.
Picha na Ramadhani Ali Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.