Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Washirika Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pemba.

Waziri wa Kazi , Uwezeshaji , Wazee, Wanawake na Watoto, Modline Castico, akipokea Maandamano ya Wanaushika katika kilele cha siku ya Washirika Duniani yaliofanyika katika kiwanja cha Gombani Pemba.
Waziri wa Kazi , Uwezeshaji , Wazee, Wanawake na Watoto, Modline Castico, akipokea Maandamano ya Wanaushika katika kilele cha siku ya Washirika Duniani yaliofanyika katika kiwanja cha Gombani Pemba.
Maandamano ya Wanaushirika yalipita mbele ya Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto , Modline Castico, wakati wa kilele cha sherehe ya siku ya Washirika Duniani yalofanyika katika Kiwanja cha Gombani Pemba.
Maandamano ya Wanaushirika yalipita mbele ya Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto , Mhe.Modline Castico, wakati wa kilele cha sherehe ya siku ya Washirika Duniani yalofanyika katika Kiwanja cha Gombani Pemba.
Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanwake na Watoto, Modline Cyrus Castico, akiangalia bidhaa za Wajasiriamali katika maonesho yaliofanyika katika Kiwanja cha Gombani Pemba, ikiwa ni miongoni mwa sherehe za kilele cha siku ya Washirika Duniani 
Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanwake na Watoto,Mhe. Modline Cyrus Castico, akiangalia bidhaa za Wajasiriamali katika maonesho yaliofanyika katika Kiwanja cha Gombani Pemba, ikiwa ni miongoni mwa sherehe za kilele cha siku ya Washirika Duniani 
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee , Wanawake na Watoto, Modline Castico, akiwahutubia Wanaushika na Wananchi waliohudhuria katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Washirika Duniani yaliofanyika huko katika Kiwanja cha Gombani Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba , Hemed Suleiman Abdalla, akitowa salamu za Mkoa kwa Wanaushika na Wananchi kwa ujumla waliohudhuria katika maadhimisho ya siku ya Washirika Duniani yaliofanyika katika Kiwanja cha Michezo cha Gombani Pemba.
 Baadhi ya Wanaushirika wakimskiliza Waziri wa kazi , Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto , Modline Castico, akiwahutubia katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Washirika Duniani iliofanyika katika Kiwanja cha Gombani Pemba.

Baadhi ya Wanaushirika wakimskiliza Waziri wa kazi , Uwezeshaji,Wazee, Wanawake na Watoto , Modline Castico, akiwahutubia katika  kilele cha maadhimisho ya siku ya Washirika Duniani iliofanyika katika Kiwanja cha Gombani Pemba.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.