Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 12 WA DARYURA WA AU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Julai 07,2019 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye  ufunguzi  rasmi  wa mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaojadili  masuala mbalimbali kuhusu  Eneo Huru la Biashara Afrika (AFRICAN CONTINENRAL  FREE TRADE  AREA - AFCFTA) Mkutano huo unaofanyika mjini  Niamey Nchini Niger  umefunguliwa  na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU  Rais Abdel Fattah el Sisi wa Egypt. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.