Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Mwera Akabidhi Vifaa KwaAjili ya Kikundi cha Hatubaguani Mwera.

Mwakilishi wa Jimbo la Mwera Zanzibar Mhe. Mihayo N'hunga,akiabidha Matofali 1000,kwa Kikundi cha Atubaguani Mwera kumalizia ujenzi na kumalizia Jengo lao kuweza kufanya shughuli zao bila ya buhudha, hafla hiyo imefanyika katika jengo hilo. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.