Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Azindua Hifadhi Mpya ya Taifa ya Burigi Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na viongozi wengine wa kivuta utepe kuashiria uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani Geita. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na viongozi wengine wa kivuta utepe kuashiria uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani Geita. 
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwanaWaziriwaMaliasilinaUtaliiDkt. HamisiKigwangallakatikapichayapamojanaviongozimbalimbali, Wakuuwamikoa, ViongoziwaVyamavyaSiasa, DinipamojanaMabalozimarabaadayakuzinduaHifadhiyaTaifayaBurigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopoChatomkoaniGeita. 
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakimpongezaMkuuwaMkoaMstaafuwaMkoawaKageraMejaJeneraliMstaafuSalumKijuumarabaadayakumkabidhiHundiyaShilingimilionikumi , kamashukranikatikamchango wake alioutoakatikautunzajiwawahifadhimbalimbaliikiwemoHifadhiyaTaifayaBurigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopoChatomkoaniGeita. 
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwapungiamkonowafanyakaziwa TANAPA wakatiakielekeakwendakuzinduaHifadhiyaTaifayaBurigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopoChatomkoaniGeita.
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiondokamarabaadayakuzinduaHifadhiyaTaifayaBurigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopoChatomkoaniGeita.
 WakuuwaMikoayaMwanza, Shinyanga, Mara naSimiyuwakijadilianajambowakatiwasherehezauzinduziwaHifadhiyaTaifayaBurigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopoChatomkoaniGeita.
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwaamesimamawakatiWimbowaTaifaukipigwakablayakuanzakwasherehezauzinduziwaHifadhiyaTaifayaBurigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopoChatomkoaniGeita.
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakikaguaKikosi cha JeshiUsu la kukabiliananavitendovyaUjangilipamojanakulindahifadhizataifakablayakuanzakwasherehezauzinduziwaHifadhiyaTaifayaBurigi (Burigi  -Chato National Park) ilioyopoChatomkoaniGeita.
Kikosi cha Jeshi Usu cha kukabiliana na Vitendo vya Ujangili pamoja na kulinda hifadhi za Taifa kikipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya ukaguzi katika sherehe hizo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Tuzo ya Hifadhi bora ya Serengeti ambayo imekuwa ya kwanza katika Bara la Afrika kwa mwaka 2019 kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia sanamu ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yenye ujumbe maalum kuhusu umuhimu wa utunzaji wa mazingira ya wanyama pori.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla mara baada ya kumkabidhi Sanamu hiyo ya Baba waTaifa. Rais Dkt. Magufuli ametoa maelekezo kuwa Sanamu hiyo aliyokabidhiwa ijengewe eneo zuri katika hifadhi hiyo ya Burigi Chato ili watalii wakija waweze kumjua zaidi Muasisi wa Taifa letu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.