Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Ashiriki Katika Maziko ya Marehemu Bi.Salama Kalenje Yaliofanyika Wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirikiana na waombolezaji kubebe jeneza katika mazishi ya Bibi Salima Yusuf Kalanje yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Julai 29, 2019. Wapili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kaburini wakati aliposhirika katika mazishi ya Bibi Salima  Yusuf Kalanje kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirikiana na waombolezaji kubebe jeneza katika mazishi ya Bibi Salima Yusuf Kalanje yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Julai 29, 2019. Wapili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.