Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais John Magufuli Nchini Rwanda.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Rwanda  Paul Kagame mjini Kigali aliko mwakilisha Rais Dkt . John Pombe  Magufuli  katika sherehe za miaka 25 ya Ukombozi wa Nchi hiyo .Julai 4/2019 anayeshudia ni Rais wa Sierra  leon Mh Mada Bio
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa amejumuika na Viongozi wenzake katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda.
Askari wa JWTZ wakiwa katika sherehe ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.