Habari za Punde

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Awaaga Madaktari Bingwa Kutoka Nchina.

Waziri wa Afya Hamad Rashid (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya na Madaktari wa Kichina   katika Hafla maalum ya kuwaaga Madaktari hao baada ya kumaliza muda wao  ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.   
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika Hafla maalum ya kuwaaga Madaktari wa Kichina baada ya kumaliza muda wao  ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima Maulid Salum akitoa hotuba ya Shukrani kwa Madakari wa Kichina  katika  Hafla maalum ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wao  ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.  
Kiongozi wa Timu ya Madaktari wa Kichina waliofika Nchini DK,Yang Xiaodong akitoa hotuba yake katika hafla maalum ya kuwaaga wenzao  waliomaliza  muda wao  ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar. 
 Kiongozi wa Timu ya Madaktari wa Kichina waliomaliza muda wao wa kutumikia Dk,Zhang Zhen akitoa hotuba ya shukrani katika  Hafla maalum ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wao  ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.  
Baadhi ya Madaktari wa Kichina waliohudhuria katika Hafla maalum ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wao wa kutumikia ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
 Waziri wa Afya Hamad Rashid (kulia)akimpa zawadi kiongozi wa Timu ya Madaktari waliomaliza muda wao Dk,Zhang Zhen  katika Hafla maalum ya kuwaaga Madaktari wa Kichina baada ya kumaliza muda wao  ikiwa ni kawaida kila baada ya mwaka mmoja na kuwapisha wenzao wengine kutoa huduma mbalimbali ikiwa pamoja na Upasuaji na Kichocho,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.  
                                                    Picha na Yussuf Simai Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.