
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi
mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Mette Norgaard Dissing Spandet Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Denmark
hapa nchini Mhe. Mette Norgaard Dissing Spandet mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Angola hapa nchini Mhe.
Sandro Renato Agostinho De Oliveira
mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Angola
hapa nchini Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira
mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mhe.
Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe Balozi mteule wa Zimbabwe hapa nchini Ikulu jijini
Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Zimbabwe
hapa nchini Mhe.
Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mhe. Sanjiv Kohli Balozi wa India
hapa nchini Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment