Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe. Dk Alhajj Ali Mohamed Shein Ahudhuria Sala ya Eid El Hajj Katika Viwanja Vya Betras Wilaya ya Magharibi A Unguja leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Al Hajj Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Betras Zanzibar kuhudhuria Sala ya Eid El Hajj,akisalimiana na Mshauri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Abdalla Mwinyi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Makamu waPili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mussa Wadi na Viongozi wengine wakishirika katika Sala ya Eid El Hajj ilioongozwa na Sheikh Twaha Hussein Twaha, iliofanyika katika viwanja vya Chuo Cha Taifa cha SUZA Kampasi ya Betras Zanzibar.
Viongozi wa Serikali na Wananchi wakishiriki katika Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Betras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo asubuhi. 
Wananchi wa Zanzibar wakishiriki katika Sala ya Eid El Hajj iliofanyika Kitaifa katika viwanja vya Betras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al Hajj Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Sheikh Twaha Hussein Twaha akisoma Hutba ya Sala ya Eid El Hajj katika viwanja vya Betras Wilaya ya Magharibi"A" Unguja, iliofanyika Kitaifa katika Wilaya ya Magharibi "A" Unguja No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.