Habari za Punde

Ujenzi wa Daraja lilivonujika Kisiwa Panza bado kuanzaLICHA ya baraza la mji Mkoani kudai kuwa ujenzi wa sehemu iliyokatika katika daraja la Kisiwa Panza utaanza ndani ya wiki iliyomalizika, picha bado ujenzi huo haujaanza kama ilivyosemwa na wananchi wanapita kwenye mabao walioweka kwa dhararu.(PICHA KWA HISANI YA JUMUIYA YA  JISEUMA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.