Habari za Punde

WAFANYAKAZI WAPYA ZRB WAPEWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO

KamishnawaBodiyaMapato Zanzibar (ZRB) Joseph Abdallah Meza kifunguamafunzoyasikutanoyakuwajengeauwezowafanyakaziwapyawa ZRB,mafunzohayoyamefanyikaOfisizaMtakwimuMaziziniMjini Zanzibar.


Mgeni rasmin Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndg.Joseph Abdallah Meza (katikati) akipokea maswali kwa wafanyakazi wake Kulia Afisa Mahusiano wa ZRB Makame Khamis Muh’d na kushoto ni Mkurugenzi rasilimali watu na uendeshaji Ndg.Mohamed Amour Mohamed.
Bi.Asma Khamis Hassan ICT Officer ZRB ni miongoni mwa wafanyakazi wapyaakiuliza swali wakati wa mafunzo hayo.
Wafanyakazi wapya wa ZRB wakisikiliza kwa makini hutuba ya ufunguzi iliyotolewa na Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndg.Joseph Abdallah Meza (hayu popichani).
PichanaMakameMshenga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.