Habari za Punde

Muonekani wa Daraja la Kibondemzungu Fuoni Baada ya Kukamilika Ujenzi Wake kwa Ujenzi.

Muenekano la daraja la kibondemzungu barabara ya fuoni baada kukamilika ujenzi wake kwa kuwekwa lami na makalafati ili kuweza kupitwa kwa wakati wote wa mvua za masika na vuli, kwa sasa daraja hilo limaliziwa ujenzi wake kwa kuwekwa vizuizi. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.