Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Magufuli afanya mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao yaliofanyika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwakatikapichayapamojanaRaiswa Uganda MheshimiwaYoweriKagutaMusevenikablayakuelekeakatikamkutanowaWafanyabiasharawa Uganda na Tanzania uliofanyikakatikaukumbiwamkutanowaMwalimuNyerere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni wakiangalia mabanda mbali mbali ya wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara wa Mataifa hayo katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.