Habari za Punde

Wanafunzi 116 wa Kidato Cha Sita Zanzibar Wakabidhiwa Zawadi ya Fedha Taslim Shilingi Milioni Moja Kila Mmoja na Uongozi wa PBZ Zanzibar.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar. Ltd. Bi. Khadija Shamte. akizungumza  na kutowa maelezo kuhusiana na zawadi waliokabidhiwa Wanafunzi wa Kidato cha Sita waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Dision One. Jumla ya Wanafunzi 116 kutoka Skuli za Unguja na Pemba wamekabidhiwa  Fedha Taslim shilingi milioni moja kila Mwanafunzi, kwa kufanya vizuri, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Abla Apartment Beitras Zanzibar.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Ndg. Salim M.Omar, akizungumza wakati wa hafla hiyo.







 







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.