Habari za Punde

MAJALIWA AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa, Olman Ndetembea ambaye ni  Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia cha Mbeya na Mbunifu  kiti maalum cha walemavu ambacho pia kinaweza kutumiwa kama kitanda au kifaa cha mazoezi ya kusimama katika maadhimisho ya wiki ya vijana kitaifa  yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mpilipili mjini Lindi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuui, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa pili kulia) wakizungumza na vijana wa Kikundi cha Kimataifa cha Vijana (International Youth Felloship – IYF) wakati alipotembelea banda la kikundi hicho katika maonyesho ya wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mpilipili mjini Lindi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama chupa yenye dawa za kulevya wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wakati alipofungua maadhimisho ya  wiki ya Vijana Kitaifa  kwenye Viwanja vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba 10, 2019. Kushoto ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Wapili kulia ni Kamishina wa Kinga na Tiba wa Mamlaka hiyo, Peter Mfisi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama chupa yenye dawa za kulevya wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wakati alipofungua maadhimisho ya  wiki ya Vijana Kitaifa  kwenye Viwanja vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba 10, 2019. Kushoto ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Wapili kulia ni Kamishina wa Kinga na Tiba wa Mamlaka hiyo, Peter Mfisi. Wa tatu kushoto ni Waziri waVijana, Sanaa na Michezo wa Zanzibar, Balozi Karume 
Vijana wa Lindi wakiandamana mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozindua Maadhimisho ya wiki ya Vijana kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya mpilipili mjini Lindi, Oktoba, 10, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.