Habari za Punde

Michuano Mpira wa Kikapu Karume Cup Kati ya Stone Town na Beit Ras Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar.

Mchezaji wa Timu ya Stone Town akijaribu kuwapita wachezaji wa Timu ya Beitras wakati wa mchezo wa Kombe la Karume Cupuliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.