Habari za Punde

Mkuu wa Takwimu za Bei Imeongozeka kwa Asilimia 2.1 Kwa Mwezi Uliomalizika wa Septemba 2019 na Kufikia Asilimia 2.2.

Meneja Uchumi Benki Kuu ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi  katika Mkutano wa Waandishi  kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Suleiman Simai Msaraka akitolea Ufafanuzi baadhi ya Maswala yalioulizwa katika Mkutano wa Waandishi  kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Mkuu wa Takwimu za Bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Abdul-Rahman Msham(katikati)akitoa takwimu za Bei  ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.