Habari za Punde

Wanafunzi Wakiwa Katika Viwanja Vya Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Chamanangwe.

Badhi ya wanafunzi wakiangali avipeperushi vya Idara ya Nyaraka katika Maonyesho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika katika Kijiji cha Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
Wanafunzi wakifurahia pembea zilizokuwepo katika Maonyesho ya Siku ya Chakula Duniani Chamanangwe Wilaya ya Wete Kisiwani  Pemba





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.