Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Atembelea Ujenzi wa Jengo la ZBC Pemba.

AFISA Mdhamini  Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja, akizungumza wakati wakikao cha watendaji wa Wizara hiyo, wakiongozwa na katibu Mkuu Khadija Bakari Juma, kuangalia maendeleo jengo jipya la ZBC Pemba ambalo taasisi nyengine za wizara zitakuwemo humo, ikiwemo Habari Maelezo, Zanzibaleo, ZMUX na Utume ya Utangazaji
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Khadija Bakar Juma, akiangalia ramani ya horofa ya tatu ya jengo jipya la ZBC Pemba, Kushoto ni Injinia wa Wizara hiyo Ali Mbarouk, ambalo litaweza kutumiwa na vitengo vyengine vya kihabari vilivyo kwenye Wizara hiyo, ikiwemo Habari Maelezo, Zanzibarleo, ZMUX na Tume ya Utangazaji
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Khadija Bakar Juma,  akikagua baadhi ya horofa za jengo jipya la ZBC Pemba, wakati wa ziara ya siku moja kisiwani Pemba.
(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.