Habari za Punde

Ufunguzi wa Michuano ya Ligi ya Muungano Mchezo wa Netiboli Kufanyika Zanzibar Uwanja wa Gymkhana.

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini" B" Unguja Ndg.Rajab Ali Rajab akifungua michuani ya Ligi ya Muungano Mpira wa Netiboli uliofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Kati ya Timu ya JKU na Jeshi Star   
Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja Ndg. Rajab Ali Rajab akiwasalimia wachezaji wa Timu ya JKU wakati wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Muungano mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar.
Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja Ndg. Rajab Ali Rajab akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Jeshi Star wakati wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Muungano mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.